Katika kuadhimisha miaka 15 tangu kuanzishwa kwa chama cha ushirika wa akiba na mikopo chuo kikuu cha Dodoma (UDOM SACCOS LTD), uongozi umeandaa bonanza la michezo litakalohusisha wanachama, viongozi, watendaji, pamoja na wadau wote wa UDOM SACCOS LTD. Lengo likiwa ni Kutoa Elimu na Mafunzo kwa Wanachama, kuonesha mshikamano, mchangamano na afya bora kupitia michezo, sambamba na kutoa burudani kwa jamii.
Tafadhali jaza taarifa zifuatazo kuthibitisha kuhudhuria bonanza la miaka 15 ya udom saccos ltd Litakalofanyika VIWANJA VYA MICHEZO CIVE – UDOM. Kuanzia Saa 06:00:00 Hadi saa 13:00:00
Je Unachangamoto Kutokana na taarifa zako kutokuwa sahihi? Wasiliana nasi hapa